Mo dewji na Barbara

Zainab j

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
1,817
Reaction score
2,362
Washabiki wa Simba na yanga tuna matatizo kweli, haswa hawa mamluki kama GENTAMYCINE
kwa upande wetu simba, sasaivi Simba imefanya vizuri kuvuka hatua ya makundi kimataifa.

Cha ajabu Hawa mashabiki maandazi ambao kutwa walikuwa wanamtukana Mo dewji, na yule CEO Barbar , sasaivi wanaisifia Simba na kocha Mgunda wanasahau pia nyuma ya hayo mafanikio yameambatana na fedha ambazo muwekezaji wetu Mo kwa miaka yote anatoa, pamoja pia na uongozi mzuri wa CEO.

Kwahiyo nashauri tujitaidi tuwe tunatumia akili wakati wakukosoa ,sio jitu Lina chuki zake lilinyimwa hela na Mo kama yule kigwwangala, au hili jamaa GENTAMYCINE ambalo nasema ni limamluki ambalo Wala sio shabiki la Simba, lenyewe kutwa kuutukana uongozi wa club mitandaoni, saizi lilivyo linafiki heti na lenyewe Lina furaha kwa Simba kuvuka hatua ya makundi
 
Udhaifu na ubaya wako huzunguzwa sana pale unapofanya vibaya.

Ukiwa ni mchafu mchafu ila kazi unafanya vizuri sana mabosi wako wanaweza nyamazia uchafu wako na kuuvuilia, ila ikitokea ukafanya makosa katika kazi hapo sasa utashangaa unapigiwa kelele za kazi mbaya halafu unapigiwa kelele kuwa wewe ni mchafu.
 
Kama nia yako ilikuwa ni kuanzisha Mada ya Kumjadili GENTAMYCINE ( Kipenzi Cha Werevu na Adui wa Wapumbavu) wengi kama Wewe Mwandamizi wao hapa JamiiForums wala hukuwa na haja ya Kuzunguka kote hivi bali ungeenda tu moja kwa moja sawa?

Na najua hii Mada yako isingechangamkiwa au hata Kusomwa na wengi hapa kama usingenitaja GENTAMYCINE kama hivi hivyo naamini kuwa sasa Uzi huu Utapitiwa mno kwani 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' JamiiForums nzima nimetajwa / umenitaja.
 
Simba bila Mo ni kama Ndanda tu, Yanga bila GSM ni kama Tukuyu Stars. Tuwape heshima yao watoa mikwanja, kuendesha team ni gharama kubwa mno mno mno.
Mwekezaji Mo Dewji na CEO Barbara au hata Kocha Msaidizi Matola au Mwenyekiti wa Wanachama Mangungu wakikosea tu GENTAMYCINE kamwe sitoacha Kuwasema (Kuwashambulia) hapa JamiiForums sawa?

Sina hulka ya Unafiki, Kuogopa au Kujipendekeza kwa Mtu / Watu kama mlivyo 95% ya Watanzania sawa?

Na msichokijua huenda kule Kuwasema Kwangu kumewasaidia Wahusika Kujitafakari, Kujisahihisha na kuanza kufanya Mambo Kiuweledi na Kiufanisi zaidi kwa Mafanikio ya Simba Sports Club yetu.
 
Mhh!
 
Umesahau rapper genta
 
😂Ushameza dawa mkuu!!?
 
Wakifanya vizuri mbona huanzishi thread kuwapongeza??? Wewe ni utopolo kwenda uko!!
 
Wewe kinachokusumbua ni ama WIVU au CHUKI kwa huyo GENTAMYCIME . Kila mtu ana namna yake ya kukosoa na kuonesha hisia. Tena nyie msiokosoa ndio wanafiki wakubwa.
 
Simba bila Mo ni kama Ndanda tu, Yanga bila GSM ni kama Tukuyu Stars. Tuwape heshima yao watoa mikwanja, kuendesha team ni gharama kubwa mno mno mno.
Kabisa kabisa mkuu na matajiri kuwepo tuu hapo kuna ipa timu hamasa na kuaminika pia. Mi huwa nawaangalia tuu wabwabwaji
 
Wewe kinachokusumbua ni ama WIVU au CHUKI kwa huyo GENTAMYCIME . Kila mtu ana namna yake ya kukosoa na kuonesha hisia. Tena nyie msiokosoa ndio wanafiki wakubwa.
naona unamtetea mumeo, haya bibie umesomeka linda ndoa
 
Simba bila Mo ni kama Ndanda tu, Yanga bila GSM ni kama Tukuyu Stars. Tuwape heshima yao watoa mikwanja, kuendesha team ni gharama kubwa mno mno mno.
Sahihi kabisa.... Mpira ni pesa
 
Ile kauli mbiu yetu iwe jua iwe mvua tulisahau kidogo kuwa muda mwingine kunakuaga na bariiidi kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…