Mo Dewji, nakuomba vunja Bodi ya Klabu ya Simba inakuchonganisha na wanachama na mashabiki

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Vunja Bodi ya Simba haina uwezo wa kukushauri wala kukusaidia, wape kazi wanachama wakushauri watu wa kuingia kwenye Bodi, hiyo Bodi kwa sasa inakuchonganisha na mashabiki na wanachama wa Simba, haina maslahi yoyote kwa Simba kwa sababu watu hawana furaha, hebu angalia leo hata mashabiki hawakujaa chamazi, utasema una Bodi wewe.
 
Naunga mkono hoja. Jaribu Tena ni kirusi.
 
Hujielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…