GE2025 Mo Dewji naye kampigia kampeni Mgombea wa Urais Samia wa CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Mpira wa tanzania na siasa ni kama mapacha tu yale yale ya rais wa yanga hersi na leo yametokea unyama yaani rais mo dewji nae ni chawa wa CCM.


Your browser is not able to display this video.
 
Nani anataka biashara zake zisiende....?
Baba yake si alishawahi kuwa mbunge wa CCM....!
 
Bila kuwa ccm huwezi kufanya biashara Tanzania, au ukiwa mfanyabiashara huwezi kuacha kujipendekeza kwa ccm, usipojipendekeza biashara itakufa nawewe unafuata.
 
CCM ndipo walipotufikisha, only way u survive uwasapoti tu, wafanya biashara ndio watu wanaothirika zaidi nahayo mazingira, mana huwa na mengi ya kupoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…