Mo Dewji ni tatizo pale Simba, ana propaganda nyingi kuliko kufanya uwekezaji

Jbst

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2020
Posts
1,971
Reaction score
4,085
Hivi kuna haja gani ya kutumia nguvu kubwa ktk propaganda badala ya kufanya uwekezaji wa kweli?

Haya sasa wameanza kufanya propaganda za kitoto ili kuwaaminisha mashabiki wao[emoji849][emoji849] .

Kweli rage alikua sahihi kuwaita lile jina

 
Leo Hamisi Kigwangala amemsema sana Mo Dewji kuwa ni Msanii, hata zile Bil 20 hakuzitoa na ndio maana hakutaka kuweka wazi juu ya matumizi ya pesa hiyo wala kusema kuwa iliwekwa kwny Account ipi.

Zaidi Mh. Waziri mstaafu/aliyeondolewa alisema kuwa Mo Dewji alipaswa kusema zile pesa ziko wapi na zimefikisha uwanja katika hatua ipi ili ikibidi na wanachama pamoja na mashabiki wengine akiwepo yeye achangie chochote.

Kifupi amemlalamikia Mo Dewji kufanya maamuzi take mwenyewe bila kuweka mambo wazi.
 
Propoganda za kizamani sana,
Yaani utoe ndizi Dar upeleke Mbeya kuziuza!
 
Kweli ukishabikia UTOPWENGA Lazima uwe TAAHIRA ndio mana haishangazi kuona wanaume wao wakiomba kutiwa mimba na MAYELE.

SASA HIO HABARI IMEANDIKWA NA MWAMEDI? AU MWAMEDI DEWJ INAHUSIKA VIPI NA HIYO PROPAGANDA.
uwe na heshima kidogo na timu ya wanaume iliyowapasua pale CCM Kirumba mpaka simba wote mnaweweseka mmepoteana mnafukuzana na kutukanana.

Goli moja tu mmeparaganyika je tungewapiga kumi si tungeokota maiti kwa mashabiki wengi wa Mikia aka Makolo kujinyonga!!
 
Hizo Propaganda ndio zimewalipa Mishahara Sakho, Chama, Kanoute, Banda, Kagere n.k.
 
Hivi hizi akili za kijinga mnazitoaga wapi?
 
Mwamedi aache janjajanja, unauza wachezaji wa maana kwa bei kubwa,unanunua magarasa mengi kwa bei ya kutupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…