ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Tatizo la kuona kua ni timu mbili tu ndio zinajua kucheza na kustahili kupewa support litatufikisha pabaya,Ningependa kukushauri Bwn Mo achana na malumbano yanayoendelea na badala yake chagua time nyingine zilizoinukia au katafute hata zingine za chini Uzi inue upandishe kiwango na kupanua uwigo wa sasa tuache kuongelea timu tatu tuongelee timu Nne na zaidi pia kuongeza ushindani.tafadhali pesa unayo kanunue timu nyingine mfano Ndanda,Stendi au hata Toto nk,hapo simba utakuja juta,timu hizo wanaziweza wenyewe!