Mo Dewji Nunua Ndanda Fc Au Stendi Utd

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Tatizo la kuona kua ni timu mbili tu ndio zinajua kucheza na kustahili kupewa support litatufikisha pabaya,Ningependa kukushauri Bwn Mo achana na malumbano yanayoendelea na badala yake chagua time nyingine zilizoinukia au katafute hata zingine za chini Uzi inue upandishe kiwango na kupanua uwigo wa sasa tuache kuongelea timu tatu tuongelee timu Nne na zaidi pia kuongeza ushindani.tafadhali pesa unayo kanunue timu nyingine mfano Ndanda,Stendi au hata Toto nk,hapo simba utakuja juta,timu hizo wanaziweza wenyewe!
 
Wewe utakua mnazi wa kutupwa wa Yanga a.k.a CCM-B tu, unahofia MO akiinunua Simba basi mtageuka wateja wa kudumu wa Simba
 
Mbona African Lyon ilimshinda? Nafikiri analenga wingi wa mashabiki wa simba ili afanye biashara si kukuza soka.
 
Bakhresa alianzisha Azam FC from Scratch. Na yeye aanzishe yake, aache maisha ya kuungaunga.
Mbona mnapenda kupanga matumizi ya hela za wanaume za watu. kwa nini wewe usianzishe kama unapenda from the scratch nani kakutaza. yeye kaamua kuwekeza Simba na Simba tumesema ndiooooo. hizi sijui lion ilimshinda nani alianzia chekechekea Simba hatujui.
 
Alishawahi kununua Mbagala Market akachemsha. Sasa ananunua Simba ili aje aiuze kwa faida kubwa baadaye. Mnunuzi kajipangia bei.
 
Alishawahi kununua Mbagala Market akachemsha. Sasa ananunua Simba ili aje aiuze kwa faida kubwa baadaye. Mnunuzi kajipangia bei.
Muuzaji nae hajanyimwa kuja na counter-price,
Bei ya kitu hua ni majadiliano.
 
Muuzaji nae hajanyimwa kuja na counter-price,
Bei ya kitu hua ni majadiliano.
Yes, Simba wafanye valuation ya kwao na wataje bei. Hii ya sasa ya mnunuzi kujipangia bei na kiwango cha hisa (51%) haijakaa vizuri.
 
Ugonjwa wa Simba ndiyo huo huo wa Yanga. Tiba ya Simba inaweza kuwa tiba ya Yanga pia.
Tuacheni sisi wamchangani tuhangaike kimchangani,.....nyie si wa kimataifa bana......mna pesa ndefu mnasajili chura milioni 200
 
Wahindi wanaua soka la bongo. Tangu Manji amechukua Yanga upangaji wa matokeo umeongezeka kwa kasi ya ajabu, sijui huyu nae akichukua Simba ligi itakuwaje!

Tofauti ya Manji na MO...MO means business.....na timu akiisuka huwa inakuwa tishio Afrika...sio hii yanga yenu ya kugongwa na kila timu
 
Tuacheni sisi wamchangani tuhangaike kimchangani,.....nyie si wa kimataifa bana......mna pesa ndefu mnasajili chura milioni 200
Sara iwekeni soko la hisa. Mtashangaa wanunuzi wengi ni hao wakimataifa.
 
Sara iwekeni soko la hisa. Mtashangaa wanunuzi wengi ni hao wakimataifa.
haiwekwi soko la hisa...anauziwa Mohamed Gulam Dewji....coz tunamfahamu...hisa zinazobaki zinagawanywa kwa wanachama wa samba waliopo sasa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…