MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Unatafutwa uko MirembeYaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha?...
Yaani ww jamaa utaacha kupost maujinga.. yani kila siku id mpya topic pumbaYaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha?...
Kwahio amedhamini ili akomoe?Yaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha?
Kudadadeki zenu sasa mmemchokoza Tajiri Mo Dewji ambapo Ijumaa hii anaenda Kudhamini Ligi Kuu ( nae kuwa Co Sponsor ) kwa kuweka 3 Billion Tsh kwa Bidhaa yake ya MO 29.
Mmemchokoza sasa mtamjua Tajiri MO.
Ni jambo jema sana wadhamini kuwa wengi, kutasaidia timu hasa zinazoitwa ndogo kujiendesha kwa ufanisiYaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha...
Aisee nimeamini mashabiki wa makolo fc ni mambumbumbu...yaani GSM kudhamini ligi amemkomoa Mo kivipi?Yaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha?
Kudadadeki zenu sasa mmemchokoza Tajiri Mo Dewji ambapo Ijumaa hii anaenda Kudhamini Ligi Kuu ( nae kuwa Co Sponsor ) kwa kuweka 3 Billion Tsh kwa Bidhaa yake ya MO 29.
Mmemchokoza sasa mtamjua Tajiri MO.
Wenye pesa wanachuana masikini masikini wanajichuaWenye pesa wanapochuana
Jezi zinahusika vp sasamo29, gsm, nbc...
Izo jezi zitakua nzitoo
Aisee [emoji23][emoji23]Wenye pesa wanachuana masikini masikini wanajichua
Mtu kufanya Investment kwaajili ya kupata return ni kumkomoa mtu mwengine?Yaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha?
Kudadadeki zenu sasa mmemchokoza Tajiri Mo Dewji ambapo Ijumaa hii anaenda Kudhamini Ligi Kuu ( nae kuwa Co Sponsor ) kwa kuweka 3 Billion Tsh kwa Bidhaa yake ya MO 29.
Mmemchokoza sasa mtamjua Tajiri MO.
Main sponsor atoe bln 2.3 then partner atoe bln 3,hivi unadhani GSM ameshindwa kutoa pesa zaidi ya NBC!rage akukosea kuwaita nyie mbu3Yaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha?
Kudadadeki zenu sasa mmemchokoza Tajiri Mo Dewji ambapo Ijumaa hii anaenda Kudhamini Ligi Kuu ( nae kuwa Co Sponsor ) kwa kuweka 3 Billion Tsh kwa Bidhaa yake ya MO 29.
Mmemchokoza sasa mtamjua Tajiri MO.
Yaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha?