MO Dewji, Simba hujauziwa usipachike vyeo watu uwapendao na wasio na mchango wowote, wenye timu tupo tukiamua hata kesho asubuhi unaondoka

mtu analipa mishahara bilioni 4 kwa mwaka. wewe unatoa shilingi ngapi?

fyoko fyoko, Mo ndiye mwenye mamlaka pale msimbazi kuingiza au kutoa mtu atakavyo, ajisikiavyo.

mtu kawekeza 20bn afu anatoka mtu buza kulalamikia maamuzi yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajua kila game simba ikicheza inaingiza bei gani , ziko wapi na zinafanya nini ? halafu hiyo bil 20 aliyoahidi huyo MO wenu imewekwa akaunti gani ? hayo majuice yake anayoyaweka kwenye jezi za simba unadhani ni kazi ya kanisa ile ?
 
Wewe huna uwezo wa kumlipa mshahara wa Mkataba wa Mchezaji Mmoja tu wa Simba, then unajitapa kumtimua Mo?

Who the hell are you?

Hivi akiondoka Dewji unadhani wewe na Babamdogo wako Kilomoni ndiyo mutawalipa Mishahara kina Kagere na Chama?


Acheni mawazo ya kiswahiliswahili hayo! Hizo hisa zenu 51 ni namba tu lakini hazina uwezo hata wa kujazia Mafuta basi la Simba ya kutoka Dar to Mwanza.

Hao Ndala wanaokupa Support wanavizia kila siku Mo aondoke ili tuwe at the same Boat ya Njaa kali.

Ona juzi tu hapa zilipovuja Fununu kuwa Mo kajimegua! Vyura vyote Dar nzima vilianza kurukaruka kwa furaha.

Lakini wewe kwakuwa kichwa chako kimejaa Ukoka badala ya akili unaishia kuwasifu Ndala kuwa wana akili pale wanaposema Mo hafai kubaki Simba.

Wewe endelea kuweweseka na Kilomoni, Sisi tuwache kufurahi Maisha ya Simba, Wewe na Kilomoni hata siku moja hatutokubali kutufanya tushindie Matikiti kama Vipenzi vyenu Vyura.
 
Nadhani ambao walikuwa hawaelewi saizi wanareason na kuona mzee alikuwa na point

Alikuwa na point gani? Mchukueni Ndala basi huyo Kilomoni ili awatoe kwenye Njaa kwa Mabilioni yake ambayo atawamwagia.
 
soma post #71
 
WAKUU, BADALA YA KUMSAKAMA SANA MO DEWJI KWA HILO, TUNAPASWA KUMHURUMIA. BADO ANAISHI CHINI YA SHINIKIZO KUBWA SANA TOKA KWA WALE WATU NA HATA HILO LA MAKONDA SI MAAMUZI YAKE.
 
Ni kikao gani cha timu ya Simba kilichoidhinisha mtu asiyejua lolote kwenye soka aitwaye Makonda kuwa Mshauri Mkuu?


Nakala okwi boban sunzu
mkuu, kichwa cha uzi itabidi kisomeke kwa kutaja jina halisi la mhusika....

Mwamedi Daudi, Simba hujauziwa usipachike vyeo watu uwapendao na wasio na mchango wowote, wenye timu tupo tukiamua hata kesho asubuhi unaondoka
 
mkuu, kichwa cha uzi itabidi kisomeke kwa kutaja jina halisi la mhusika....

Mwamedi Daudi, Simba hujauziwa usipachike vyeo watu uwapendao na wasio na mchango wowote, wenye timu tupo tukiamua hata kesho asubuhi unaondoka
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…