MO Dewji, Simba hujauziwa usipachike vyeo watu uwapendao na wasio na mchango wowote, wenye timu tupo tukiamua hata kesho asubuhi unaondoka

Tuliwaambia watani, Mo hayupo pale kimapenzi, yeye ni maslahi tu, sijuwi kwanini watani wabishi na wagumu kiasi kile...
 
Akiondoka muanze kulia tena... Muanze kupanda daladala badala ya mwewe.... Watu wanataka matokeo... Mengine watajijua wao.
 
Hahaaaah ila kapewa benchi la ufundi...tangu lini wadhamini ndo wanakuwa benchi la ufundi...sasa moo kama anafanya uharamia simba mbona wanaoteseka ni mashabiki wa kwasukwasu??
Hata mbumbumbu wanateseka sana kwa anayoyafanya Mohamed! Ila ndio hivyo tena umasikini umewafunga mdomo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
 
Hata mbumbumbu wanateseka sana kwa anayoyafanya Mohamed! Ila ndio hivyo tena umasikini umewafunga mdomo!

Sent using Jamii Forums mobile app
so mbumbumbu wakiteseka we shabiki la kwasukwasu fc inakuuma nini....nyie pambaneni na litimu lenu bovu njaa fc ambalo sahivi kila mtu anajipigia anavyotaka
 
Alikuwa na point gani? Mchukueni Ndala basi huyo Kilomoni ili awatoe kwenye Njaa kwa Mabilioni yake ambayo atawamwagia.
Huwezi kuelewa ndiyo maana unaitwa mbumbumbu,mashabi wenzio wenye akili timamu wanashtuka kuona anakuwa kama Pro Lipumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…