Mo Dewji: Simba itafanyia mazoezi Marekani 2022

Mashabiki msiotumia logic kama wewe ndo mlisababisha Rage akatutukana

Kipindi MO anaahidi hostel na viwanja alijua mashabiki wengi wa Simba wapo kama wewe.
Yanga na wao wataenda marekani, maana akili zao wanazijua wenyewe
 
Yanga na wao wataenda marekani, maana akili zao wanazijua wenyewe
Yaani waache kwenda Spain au Brazil penye soccer waende USA Penye record nzuri ya Basketball na Baseball?

Yaani Simba wana sifa na Ujinga mwingi

USA na soccer wapi na wapi...au wanaenda NBA kwenye training ya Basketball? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simba wanaenda USA Marekani mwakani.
Huko Spain kwenye mpira nendeni nyinyi.
Kila timu ina mipango yake.
Simba inatengeneza Mahusiano na timu moja ya huko Marekani hivyo inaenda kujifunza baadhi ya mbinu za soka.
Marekani ishaingiza mara nyingi timu yao ya Taifa katika michuano ya Kombe la Dunia.
Je Tanzania kama nchi imeingiza mara ngapi timu yake ya Taifa.?

Acheni dharau, Marekani pamoja na kuthamini Basketball, inatuzidi sana katika nyanja ya Soka.
Kwanini hutaki Simba ijifunze kwao ?
Huko Brazili nenda wewe Simba wakati wake utafika wa kwenda huko.
 
"Halafu zinapotumika pesa hamuulizi ila zikiingia mnajifanya mna machungu kama ameibiwa babaako"
 
"Halafu zinapotumika pesa hamuulizi ila zikiingia mnajifanya mna machungu kama ameibiwa babaako"
Taratibu hao ni timu Manara na Kilomoni.
Ghalama za timu hawaziulizii, wanataka faida ya mauzo tu.
 
Naona sasa ni vita rasmi kati ya MO na Manara.
 
Hili wala halina toka kwa sasa, boss anaonekana kavurugwa sana na Manara, kwa sasa tunahitaji utulivu sana ili upepo huu mbaya upite

Badala ya kumsaidia Manara kisaikolojia ili akae sawa,mko mnazidi kumdidimiza tu,ataishia kujitia kitanzi ndiyo mtaelewa kuwa kufukuzwa kwake Simba ni pigo ambalo hakuwahi tegemea maishani mwake
 
Vipi wamekwenda Marekani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…