njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Uliahidi mwenyewe August 2021 kwamba kambi mwaka huu ni washington Dc USA huku Dc utd wakiwa team mwenyeji na tutashiriki mashindano maalumu yanayoshirikisha teams za MLS na za South America.
Please timiza ahadi yako siyo baadaye kuja kusikia sijui team iko south au spain na kupata mechi za kuokoteza, hiyo pre season ya America kucheza na teams za major league soccer na za South America kama tournament itakuwa poa sana
Hapo tuombe Mungu huko Tunisia Sahel waharibikiwe rasmi weekend hii tupate bahati ya kuanzia round ya kwanza CAF ina maanaa mechi kucheza ni september hukooooo muda wa kujiandaa utakuwa wa kutosha sana.