Mo Dewji toa billion 20 ambazo zipo kimkataba, acha kutengeneza mazingira ya kuonewa huruma na ujanja ujanja

Kinachowagharimu mashabiki wa simba na yanga ni kutafuta furaha ya muda mfupi
 
haujui mo anamipango gani broo wewe tulia sisi wenye simba yetu tunajua kinachokuja badae
 
Amini nakuambia mashabiki wa izi timu wanataka ushindi tu......hayo mengine hayawahusu
Mwenzako Mo ananunua marefa na zawadi kutoka caf ns kulipa posho maafisa pale tff, shida yenu si kumfunga yanga tu!
 
Mo aliahidi kwa kinywa chake atatoa bill 20 ikaweka kwenye mkataba, Leo anaambiwa atimize takwa la kimkataba anakua mbogo, alafu Cha ajabu mashabiki Kama wewe wamesha shahau tukio la 2017 ajabu sana
Mo anasema hela yake atailinda nani kule simba, kina Manara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…