Sasa si atoe pesa watu wasajili ahida iko wapi??Boss kaona klabu imeboronga kwenye Usajili.
safi sana sasa wale wanaoisakama yanga tuwaoneSiku zinahesabika.
Muda si mrefu jamaa ataachia ngazi. Amesha waandaa kimkakati.
Msije kusema sikuwaambia.View attachment 2684804