Mo Dewji tuachie Simba SC yetu ili uendelee na Maisha yako kwani siyo Siri tumeshakuchoka na Usanii wako

Mo Dewji tuachie Simba SC yetu ili uendelee na Maisha yako kwani siyo Siri tumeshakuchoka na Usanii wako

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Tajiri namba 13 Barani Afrika kamwe hawezi Kumnunua Ishael Sawadogo ambaye amekaa Miezi 10 bila Kucheza Ligi Kuu yoyote ile.

Tajiri namba Barani Afrika kamwe hawezi Kumsajili (tena kwa Mkopo) Michezaji Jean Baleke ambaye ni Makapi kutoka kwa Wanaojua TP Mazembe.

Mo Dewji tuachie tu Simba SC yetu.
 
Vp kama mheshinda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha uchonganishi Utopolo.

Mo ndiye anayesajili wachezaji? Uto jipangeni kwa ajili ya mgeni wenu kesho, acha miwasho.
 
Mbona mapema 😂😂😂

Subiri hiyo super cup ije mpigwe kama ng'ombe na mtavurugana vibaya mno.
 
Tajiri namba 13 Barani Afrika kamwe hawezi Kumnunua Ishael Sawadogo ambaye amekaa Miezi 10 bila Kucheza Ligi Kuu yoyote ile.

Tajiri namba Barani Afrika kamwe hawezi Kumsajili (tena kwa Mkopo) Michezaji Jean Baleke ambaye ni Makapi kutoka kwa Wanaojua TP Mazembe.

Mo Dewji tuachie tu Simba SC yetu.

Acha maneno,
Nenda kanunue hisa zake simple

Then ww sasa ndio ufanye hayo mambo
 
Mo Dewji Utamuonea Tuu… Ndani Ya Miaka 5 ndio Ametufanya tuwe hapa na Tuseme kwa Mkapa Hatoki mtu.

Simba Ilisha Onekana toka Msimu unaanza kuwa Hatutafika popote.

Una Mfahamu kocha wa Viungo wa Simba?
 
Mbona jana wakati ukienda kuroga hukuyasema haya,mbona ulijiaminisha mnashinda mapema ikiwa ulijua kikosi kibovu? au kiliingia kikosi kipya
Nyie wachambuzi uchwara na msiojua mpira ndo mnawapoteza wenzenu,ujuaji mwingi tu unawasumbua
 
Popoma laini sana, game ikicheza unajificha, ikiisha ndio unaanza kupiga kelele, wacha uboya wako.
 
Ila huyu member anaongoza kwa blah blah na kutokuwa na misimamo na nyuzi zake. Saizi ana laumu usajili wa Sawadogo lakini majuzi tu akafungua uzi kwamba kwa wanaojua mpira, Sawadogo ni bonge la mchezaji.

Back
Top Bottom