Mkuu, wala si Mayele tu hata Ghushi wa Yanga amefunga bao kama hilo, ila sasa inatengemea unafunga wapi..!Mheshimu Mayele boss maana alifunga magoli mawili ya staili hiyo na moja likawa goli Bora NBC premier league. Sakho apongezwe kwa kushinda tuzo kubwa Africa lakini haina maana ya kumdharau Mayele.
Mbaya zaidi ng'ombe mwenyewe ana-TBUnaweza kufunga mabao mengi ukapewa Ng'ombe demigod
Lakini unaweza kufunga bao moja tu ukapewa Tuzo, ukaheshimisha klabu na nchi.
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
Pettymagambo View attachment 2299599
Labda akicheza na moro kidsNgoja tuone Mayele nae huenda akatetema kwa kuweka goli matata kama hilo la Sakho
Anayetetema atajibu kwa kupiga picha na ng'ombe wake.Ni heshima ya kipekee kwa Simba na TanzaniaView attachment 2299503
TumeipumzishaHivi ile kauli ya kuwa Bosi MO amesusa bado ipo au mmeipumzisha kwanza Joseverest
Sijui ni kujitoa akili?Simba SC ni klabu kubwa sana, level ya AL Ahly, Zamalek, Esperance, TP Mazembe, Raja Casablanca, Hearts of Oak, Vita Club, na Mamelodi Sundowns.