Mimi waende wasiende muhimu timu iwe poa sana next season tu itatosha
Mbona wewe humu ulisema Coastal atamfunga Yanga maana ushamaliza kupiga ramli mwisho Yanga akashinda na hujaona kama kuna tatizo na tunasonga nawe humu?
Kwamba uko tayari ku risk maisha yako kwa kujisaidia mbele ya Mps..🤣🤣🤣.....kwamba unajua kabisa hawawezi kuweka kambi USA...!🤣🤣🤣..au labda alimaanisha SUA morogoro na sio USA