MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Kikwete anajuta kwanini akimpa Bashite nafasi na kuwaachia wahuni Nchi.Huyo unayemkweza kila uchwao na mwenzie bashite waambieni wamwachie mtu wa watu. Mmeshadai bil 1 ndio mko humu matangazooo meeengi.
I pray to God awashushie gharika la moto watesaji wadhulumaji
Wanashindwa nini wao kumwaambia mkulu nchi inaelekea kusiko ana nini mpaka wamuogope kiasi hiki?Kikwete anajuta kwanini akimpa Bashite nafasi na kuwaachia wahuni Nchi.
Ingieni kichwa kichwa kisa uroho wa 1bWanaume wa mkoani ngoja tujipange kuja wa dar hiyo kazi hamuwezi
It's not a ransom as has not been demanded by the guy holding Mo in hostage. The bounty can hasten finding Mo! Believe me even the guys behind Mo disappearance must be in worries right now.This is a bad decision, You cannot offer Ransom money to a kidnapper..They will only raise the stakes, Mo's family have priced the life of Mo to a mere 1bn TZS..Very very sad and actually stupid
Shows how pathetic your Police and Intelligence is
Ukiona familia imechukua hatua hii ujue kwamba serikali ya Tz imeshindwa kufanya kazi yake, au labda walihusika kwenye uovu huo.
Ruto alone offered more than that for harambe stars to beat ethiopia..50 million kes