Sio mo anaisaidia Simba na Simba inamsaidia mo pia (symbiosis). Yanga alitoka Abbas Gulamali akaja Manji Yusuf na Manji aliondoka akaja GSM. Hata mo akiondoka atakuja tajiri mwingine, usihofu aloo. Shida inaweza kuwepo kwa muda mfupi tu kabla ya kumpata kibopa mwingine msua zaidi.Bila MO simba ni sawa na Maji Maji
Sio kwamba Rage aliropoka tu kuwaita mbumbumbu mashabiki wa Simba. Kuna mashabiki wa Simba wanadhani mo kaitoa mbali Simba, Simba ilikuwepo tangu 1936. Ni Simba iliyomtoa mbali mo na familia yake.Jidanganye.
Mo ana 49%, Gsm ana 100% Yanga na Mwenyekiti kawapa awasaidie, Na kiwanja ana 50% kwa mkataba wa milele Amina.Haiishi tu Mo kuidai simba billions of shilings! Yeye na familia yake ndiyo wamiliki halali wa timu ya simba. Kama huamini muulize Mangungu.
Aondoke aone kama Simba itakufa.Simba ina miaka 90 mo ana umri gani?Mwe mnaacha akili za kitumwaSimba mnamajungu sana atawaachia mikia yenu aondoke muanze kupga myayo
Watajuana wenyewe !