Mo kumtimua Aussems?

Huwezi kumlaumu kocha ambaye hujampa nafasi ya kusajili.
Usajili unafanyia chumbani kwa malengo yako, timu ikivurunda unashusha lawama kwa kocha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkataba wa Aussems ni kufika hatua ya Makundi
Kwa hiyo mzuzu yupo salama,ila apate msaidizi na kufyeka wachezaji kama 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…