Dav jm
Member
- Mar 30, 2018
- 58
- 45
MWEKEZAJI wa Simba,
Mohamed Dewji amesema
watapeleka maombi yao
Shirikisho la Soka nchini ili
kununua timu ya daraja la
kwanza. Timu hiyo itakuwa na wachezaji
wanaotoka timu yao ya vijana ya
Simba na endapo watakubaliwa
watakuwa na timu itakayoitwa
Simba lakini ikishiriki Ligi Daraja la
Kwanza. Mo Dewji amesema endapo timu
hiyo itafanikiwa kupanda daraja
hawataipandisha Ligi Kuu kwank
sheria haitawaruhusu kuwa na
timu mbili ligi kuu zenye jina moja.
"Lengo ni kutoa burudani zaifi kwa mashabiki wetu na kuweka
ushindani mkubwa katika soka,
tukikubaliwa tutanunua timu na
itaitwa Simba ila itashiriki ligi
daraja la kwanza.
"Hatutairuhusu kushiriki ligi kuu hata kama itapanda kwani sheria
hazitaruhusu, tutatoa burudani
huku huku chini," amesema Mo
Dewji.
Mohamed Dewji amesema
watapeleka maombi yao
Shirikisho la Soka nchini ili
kununua timu ya daraja la
kwanza. Timu hiyo itakuwa na wachezaji
wanaotoka timu yao ya vijana ya
Simba na endapo watakubaliwa
watakuwa na timu itakayoitwa
Simba lakini ikishiriki Ligi Daraja la
Kwanza. Mo Dewji amesema endapo timu
hiyo itafanikiwa kupanda daraja
hawataipandisha Ligi Kuu kwank
sheria haitawaruhusu kuwa na
timu mbili ligi kuu zenye jina moja.
"Lengo ni kutoa burudani zaifi kwa mashabiki wetu na kuweka
ushindani mkubwa katika soka,
tukikubaliwa tutanunua timu na
itaitwa Simba ila itashiriki ligi
daraja la kwanza.
"Hatutairuhusu kushiriki ligi kuu hata kama itapanda kwani sheria
hazitaruhusu, tutatoa burudani
huku huku chini," amesema Mo
Dewji.