Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Habari wakuu,
Napenda kuchukua nafasi hii kumuuliza mwekezaji wa Simba ndugu Mohamedi Dewji, aliposhinda nafasi kama mwekezaji wa Simba aliahidi ndani ya mwaka mmoja Simba itakuwa na kiwanja chake na miundombinu yote muhimu.Lakini ni mwezi wa nne sasa tunaelekea wa tano naona kimya!Sijasikia cha usanifu wala vipimo,sasa ni kwamba sisi wana Simba tumekuwa wajinga wa kuda nganywa hovyo ama vipi?Naomba anaejua kama kuna lolote linaloendelea atujuze