Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Habari wakuu,
Napenda kuchukua nafasi hii kumuuliza mwekezaji wa Simba ndugu Mohamedi Dewji, aliposhinda nafasi kama mwekezaji wa Simba aliahidi ndani ya mwaka mmoja Simba itakuwa na kiwanja chake na miundombinu yote muhimu.Lakini ni mwezi wa nne sasa tunaelekea wa tano naona kimya!Sijasikia cha usanifu wala vipimo,sasa ni kwamba sisi wana Simba tumekuwa wajinga wa kuda nganywa hovyo ama vipi?Naomba anaejua kama kuna lolote linaloendelea atujuze
Habari wakuu,
Napenda kuchukua nafasi hii kumuuliza mwekezaji wa Simba ndugu Mohamedi Dewji, aliposhinda nafasi kama mwekezaji wa Simba aliahidi ndani ya mwaka mmoja Simba itakuwa na kiwanja chake na miundombinu yote muhimu.Lakini ni mwezi wa nne sasa tunaelekea wa tano naona kimya!Sijasikia cha usanifu wala vipimo,sasa ni kwamba sisi wana Simba tumekuwa wajinga wa kuda nganywa hovyo ama vipi?Naomba anaejua kama kuna lolote linaloendelea atujuze
Simbaaa woyoooooooooooooo kumbe Genta ni simba ndo maaana tunapatanaTuliza ' Kipira ' halafu kama huyajui mambo ya Simba SC ni kheri ukauliza ili uambiwe kusudi uweze kupunguza kidogo mapungufu yako yaliyopo Kichwani mwako ambayo yanaonekana kukuathiri. Ni kwamba Mohammed Dewji kama mambo yakienda vizuri na Wana Simba wengi wanajua mwezi ujao May anakabidhiwa Timu rasmi kwa makubaliano ' maalum ' ya Kimkakati na ya Kiserikali. Na kulithibitisha hilo hata Simba SC ya sasa na mafanikio yake Mo ana 95% zake na anaifanyia Timu makubwa mengi mno ambayo tulio karibu na Timu tunajua. Pia nimegundua kuwa Wewe ni mwana Yanga SC na siyo Simba SC mwenzetu.
Simbaaa woyoooooooooooooo kumbe Genta ni simba ndo maaana tunapatana
Sikujua hilo na nimefurahia sana nilitaka shangaa yaan uwe kule kwa mitulingaaa heeee nasikia sasa hivi wana kocha mnyakyusa toka mholanzi mpaka mnyakyusaUlikuwa hujui kuwa Mimi ni Mnyama Mnyamani Mpendwa wangu Mama Sabrina? Yaani ' Genius ' anaweza akawa ' Mshabiki ' wa Chura Churani?
Mkuu mimi ni mshabiki wa simba,na nilitaka kujua kinachoendelea,na ndo maana nilisema anaejua kinachoendelea atujuze.Sijaona kosa langu hapo.Tuliza ' Kipira ' halafu kama huyajui mambo ya Simba SC ni kheri ukauliza ili uambiwe kusudi uweze kupunguza kidogo mapungufu yako yaliyopo Kichwani mwako ambayo yanaonekana kukuathiri. Ni kwamba Mohammed Dewji kama mambo yakienda vizuri na Wana Simba wengi wanajua mwezi ujao May anakabidhiwa Timu rasmi kwa makubaliano ' maalum ' ya Kimkakati na ya Kiserikali. Na kulithibitisha hilo hata Simba SC ya sasa na mafanikio yake Mo ana 95% zake na anaifanyia Timu makubwa mengi mno ambayo tulio karibu na Timu tunajua. Pia nimegundua kuwa Wewe ni mwana Yanga SC na siyo Simba SC mwenzetu.
Mkuu mimi ni mshabiki wa simba,na nilitaka kujua kinachoendelea,na ndo maana nilisema anaejua kinachoendelea atujuze.Sijaona kosa langu hapo.
Unajua kuwa kichaa sio lazima uokote makopo barabarani.Kumbe wewe mtusi unakichaa pia kama mjomba wako kagame..Punguza ' Unafiki ' tafadhali. Jitahidi uende ukawasaidie wenzako kuokoa Vitu pale Jangwani kwani nasikia ' Chupi ' za Kamusoko na Tambwe zimesombwa na Maji ya Mvua hii iliyoleta mafuriko na sasa yanakaribia kufikia ghorofa la mwisho chumba ambacho analala Katibu wenu na leo inasemekana aliingia kujisaidia akasahau ' Kuflashi ' hivyo kuna uwezekeno maji yakifika kule juu pakawa na dhahama mbili.
Kuna swimming pool ya kimataifa pale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Punguza ' Unafiki ' tafadhali. Jitahidi uende ukawasaidie wenzako kuokoa Vitu pale Jangwani kwani nasikia ' Chupi ' za Kamusoko na Tambwe zimesombwa na Maji ya Mvua hii iliyoleta mafuriko na sasa yanakaribia kufikia ghorofa la mwisho chumba ambacho analala Katibu wenu na leo inasemekana aliingia kujisaidia akasahau ' Kuflashi ' hivyo kuna uwezekeno maji yakifika kule juu pakawa na dhahama mbili.