Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Usiwachukulie poa Mbeya, wanakimbiza balaa. Kapigwa Prisoni, Mbeya City, Ihefu na Mtibwa.Mbeya kwanza wameshinda jana.ugenini je tuseme ni bora kuliko mtibwa..? Bado.mapema au costal union ni bora kuliko azam bado ni.mapema saana
kasha jiuvulu yayari
Mtibwa msimu ulopita alikaribia kushuka daraja na bado hadi sasa timu inacheza haieleweki inatafuta nini kwanini watu wasiwe na wasiwasi kua yanaweza kujiridua ya msimu ulopita?Kutokucheza vzr kwa mtimbwa kwa mechi moja hatuwezi.kusema mtimbwa ni mbovu mwisho wa msimu ndipo tutafanya tadhmini.inayoonekana kulingana na point na msimamo.
Unaweza kutoa mfano wa mchezaji hata mmoja mzuri kuliko walioko Simba waliosajiliwa kwa Pesa toka kwenye Mkataba wa Azam??
Na huyo alie mfunga kapanda daraja au azam.kafungwa na Costal Union tuseme Costal union wapo njema zaidi.ya azam..?Mtibwa msimu ulopita alikaribia kushuka daraja na bado hadi sasa timu inacheza haieleweki inatafuta nini kwanini watu wasiwe na wasiwasi kua yanaweza kujiridua ya msimu ulopita?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiwa huna hela alafu ukamuita Mo mara tatu unaonekana Kama Mlio wa ng'ombe[emoji2][emoji2]
ni yeyey..View attachment 1956565Kula TIKITI MAJI hilooo!
Ukiwa huna hela alafu ukamuita Mo mara tatu unaonekana Kama Mlio wa ng'ombe[emoji2][emoji2]
Azam hajafungwa bali katoa sare na katika mpira ili ufungwe lazima ufanye makosa na makosa yanasababishwa nakukosekana na umakini,ubora na uzembe.Na huyo alie mfunga kapanda daraja au azam.kafungwa na Costal Union tuseme Costal union wapo njema zaidi.ya azam..?
Azam kiubora alitakiwa ashindeAzam hajafungwa bali katoa sare na katika mpira ili ufungwe lazima ufanye makosa na makosa yanasababishwa nakukosekana na umakini,ubora na uzembe.
Ili ufingww lazima timu moja iwe bora siku hiyo kuliko nyingine
Na Dodoma wanalinda uwanja wao usiku na mchana,haingii mtu.Next match ni dhidi Dodoma Jiji ambao ni wamoto sana msimu huu
Pale wakatoe sare tena, inatosha sanaNa Dodoma wanalinda uwanja wao usiku na mchana,haingii mtu.
Malizia kwa Mipango ya kimjini mjini.League ni jinsi unavyomaliza sio unavyoanza. Yanga mwaka jana waliongoza almost 90% ya msimu wa 20/21 lakini Ubingwa ulienda Msimbazi