Mo music na meneja wapigwa busha na promota

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Jamani uchawi upo. Kupitia clouds fm kipindi cha kubwa kuliko msanii Mo Music na meneja wake wamethibitisha kuwa wamepigwa mabusha na promota waliyemdhurumu. Promota makunganya aliwalipa milioni moja na nusu ili wakapafomu huko Shinyanga siku ya show wakaingia mitini. Baada ya kuwatafuta kwenye simu bila mafanikio promota aliamua kwenda kufanya yake. Hivi sasa wanahaha huko kijijini kumtafuta ndugu promota ambaye anasema bila milioni sita wataendelea kupata joto ya jiwe.

Mytake 1

Mo music ni msanii cheap yaani anaperform kwa milioni moja?

Mytake 2

Jamani tuwe waaminifu uchawi upo.
 
Nilikuwa nasikiliza hapa soud Brown anazungumzia hiyo habari
 
Kapicha mkuu
 
ī hizo my take sasa daah
 
Asijali mshipa sio ugonjwa,,mshipa una raha yake kuwa nao,,kwanza ukipita mbele za watu lazima watulie kiiimyaaa kama sekunde kadhaa hiv....mshipa cheo bwana!
 
Habari inatoka SHILAWADU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: y-n
Mjambisheni huyo mwenye busha aisee.
 
Mil.1 ni kubwa sana kwa msanii aliyesahaulika kama huyo, wasanii wengine wakubwa tu wanaperform bar kiingilio bia[emoji56]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…