Mo sajili wachezaji hawa kwa Simba SC

Wanao msema vibaya MO ni watu wasio wanamichezo.
MO kachangia kiasi kikubwa sana kwenye sekta ya Michezo hususan Mpira wa miguu.
Ndiye Mwekezaji wa kwanza katika fani ya Soka.

Humu wanao andika ni watu wenye uelewa tofauti.
Gulamali umemsahau?
 
Hizo zote ni hasira
 
Kwenye avatar huna tackle pole sana
 
Hizo hela za usajili na mishahara ya hao wachezaji watazitoa wapi?
 
Ukweli mchunguu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…