TheFastest
Member
- Jun 17, 2016
- 86
- 87
Yuko kwenye saba za mwanzo.Kichekesho cha wiki[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ronaldo ndiye pekee aliyekuwa mpinzani wa karibu. Wengine washiriki tuKwann umeandika "Mo Salah beat Ronaldo"?? Kwani alikuwepo Ronaldo peke yake UEFA..?? Si ungeandika hata "Mo Salah beat Umtiti au Buffon...!!"
Rudia tena unasema....Salah bado sana kwa Ronaldo
Walitoa list ya wapinzani au hayo ni maoni yako kwmb yeye ndo alikuw mpinzani wa karibu..??Ronaldo ndiye pekee aliyekuwa mpinzani wa karibu. Wengine washiriki tu
These were the nominees and the result was as follow.[emoji116]Walitoa list ya wapinzani au hayo ni maoni yako kwmb yeye ndo alikuw mpinzani wa karibu..??
Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app
we mshabiki wa barca una mihemko na amebakwa jana na AS...... ForzaItalia[HASHTAG]#Ucl[/HASHTAG] player of the week View attachment 736340