Mo: Wana Simba tulieni mambo mazuri yanakuja

Mo: Wana Simba tulieni mambo mazuri yanakuja

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Bosi katwiti muda mchache uliopita. Mambo yatakuwa moto msimu ujao. Inasemekana usajili ni wa moto sana.
613F4A01-59E7-449C-83AD-04416B5878D5.jpeg
 
Baadaye asianze tena kulia lia kupata hasara kwa kusajili magarasa.
 
Pesa ya Kambi nje ya nchi hakuna,

Kwaiyo ni Kimbiji tena..!
Kimbiji kama kawaida! Mechi za Pre season wanacheza na Mbuni Fc! Halafu mwisho wa msimu, makombe yote ya Ligi, anachukua.

Yule wa kwenda Uturuki, Dubai, Misri, nk. Hata lile Kombe tu la Bonanza, la Mapinduzi Cup anakosa!! Maajabu haya!!!
 
Yaani unawaokotea mchezaji kutoka Rwanda kwa Bei ya lonyalonya ndio unawaambia watulie😀😀🤣, Sasa huyo onana anamzidi nini Phili au Father Bocco?.
 
Back
Top Bottom