Mob psychology moja ya tatizo kubwa kwa Jamii ya wa Tanzania

MWALIMU DAIMA

Senior Member
Joined
Mar 4, 2023
Posts
129
Reaction score
263
Habari Wana Jf hope wote ni wazima, niende kwenye mada moja kwa moja.
Mob psychology ni Hali jumuishi ya kundi kubwa la watu kuwa na mawazo au mtazamo unao fanana. Kundi kubwa la watu Lina amini kuwa walimu ni watu maskini pia kundi kubwa la watu Lina amini kuwa kusoma hadi chuo kikuu ni kupoteza muda kwani ajira hakuna hiyo ni mifano ya mob psychology.

Mob psychology imeleta madhara makubwa sana kwa maisha ya wa Tanzania Wengi, wasomi na wasio wasomi, mfano Wanachuo Wengi Wana ishi katika msongo wa mawazo kwani akili zao Zina amin baada ya masomo ajira hakuna hii inapelekea afya ya akili kuwa matatani chanzo ni mob psychology.

Katika suala la mahusiano, wanaume wanashidwa kusomesha wachumba zao, sababu Watu wengi wanasema mchumba hasomeshwi hiyo ni athari ya mob psychology.

Vijana wanaogopa kuingia kwenye ndoa kisa tu hawako vizur kiuchumi ( watu wengi husema ili uingie kwenye ndoa lazima uwe vizuri kiuchumi), inapelekea vijana kushidwa kuingia kwenye ndoa chanzo ni mob psychology.

Mob psychology imefanya watu wengi sana kushidwa kufika kwenye hatima za maisha yao,
Mob psychology imeleta umaskini mkubwa kwani watu wamekuwa wa kiiamini kama wengine wanavyo Amini.

Ndugu zangu, ukitazama kama wengine wanavyo tazama basi utakuwa kama wao.
Vijana tuliopo chuo,tusome pasi na msongo wa mawazo kuwa ajira hakuna au maisha mtaani ni magumu, hapana amini ajira zipo na maisha utayamud.

Usitazame kama wengine jifunze kuifikrisha akili yako, kubali kuwa tofauti na mtazamo wa watu hata kama ni Wengi kiasi kipi.

Ni Mimi mwalimu mtarajiwa
 
We jipe matumaini eti ajira nzipo huku kuna watu since 2016 hawana ajira. Vijana mnakuwa na hesabu za kujumlisha tuu. Tulia kijana umasikini wa walimu hata ujasiri vipi hautaisha
 
Nakuhaidi Leo ipo siku walimu watapewa heshima wanayostahili, ipo siku fani hii itaheshimika.
Nakuhaidi Leo japo bado nipo masomoni ila nakuhaidi.
 
Wakidharauliwa wamependa . Unakuta jamaa ana mshahara mzuri tu anafamilia ya mtoto mmoja tu lakini inamshinda kuihudumia.! Inafikia hatua mtoto anakuwa ombaomba ,sasa kwa mazingira hayo waache kudharauliwa kweli????
 
Psychology ya CHADEMA na walamba asali kwa Magufuli!
 
Habari Wana Jf hope wote ni wazima, niende kwenye mada moja kwa moja.
Mob psychology ni Hali jumuishi ya kundi kubwa la watu kuwa na mawazo au mtazamo unao fanana. Kundi kubwa la watu Lina amini kuwa walimu ni watu maskini pia kundi kubwa la watu Lina amini kuwa kusoma hadi chuo kikuu ni kupoteza muda kwani ajira hakuna hiyo ni mifano ya mob psychology.

Mob psychology imeleta madhara makubwa sana kwa maisha ya wa Tanzania Wengi, wasomi na wasio wasomi, mfano Wanachuo Wengi Wana ishi katika msongo wa mawazo kwani akili zao Zina amin baada ya masomo ajira hakuna hii inapelekea afya ya akili kuwa matatani chanzo ni mob psychology.

Katika suala la mahusiano, wanaume wanashidwa kusomesha wachumba zao, sababu Watu wengi wanasema mchumba hasomeshwi hiyo ni athari ya mob psychology.

Vijana wanaogopa kuingia kwenye ndoa kisa tu hawako vizur kiuchumi ( watu wengi husema ili uingie kwenye ndoa lazima uwe vizuri kiuchumi), inapelekea vijana kushidwa kuingia kwenye ndoa chanzo ni mob psychology.

Mob psychology imefanya watu wengi sana kushidwa kufika kwenye hatima za maisha yao,
Mob psychology imeleta umaskini mkubwa kwani watu wamekuwa wa kiiamini kama wengine wanavyo Amini.

Ndugu zangu, ukitazama kama wengine wanavyo tazama basi utakuwa kama wao.
Vijana tuliopo chuo,tusome pasi na msongo wa mawazo kuwa ajira hakuna au maisha mtaani ni magumu, hapana amini ajira zipo na maisha utayamud.

Usitazame kama wengine jifunze kuifikrisha akili yako, kubali kuwa tofauti na mtazamo wa watu hata kama ni Wengi kiasi kipi.

Ni Mimi mwalimu mtarajiwa
Kwenye ishu ya elimu huyo mchumba acha tu asomeshwe na wazazi wake...
 
Nakuhaidi Leo ipo siku walimu watapewa heshima wanayostahili, ipo siku fani hii itaheshimika.
Nakuhaidi Leo japo bado nipo masomoni ila nakuhaidi.
Walimu Hawa Hawa wanaosaliti wananchi na Kuwaibia CCM KURA?
 
Nakuhaidi Leo ipo siku walimu watapewa heshima wanayostahili, ipo siku fani hii itaheshimika.
Nakuhaidi Leo japo bado nipo masomoni ila nakuhaidi.
kinacho waponza walimu nikutokua na msimamo na dira yaani niwatu walio meza ramani
 
Back
Top Bottom