Hawatumii maji hao ni dry claening,we vipii huelewi tu???????Nikiwaita mbele ya ofisi yangu hamchafui mazingira? Kwa maana maji yanayomwagika mnayacontrol vipi? Bei zenu zikoje?
mkuu inabidi tuwaelemisha waosha magari maana kama umetumia hela nyingi kununua gari yako nadhani pia utalithamini pia kama u want to see ourservice tupigie simu hapo juu atutasita kukuhudumia..asante sanabei zenu zikoje??
Maana mferejini tunaosha kwa tshs 2,500/-.
Sawa kaka,mkuu inabidi tuwaelemisha waosha magari maana kama umetumia hela nyingi kununua gari yako nadhani pia utalithamini pia kama u want to see ourservice tupigie simu hapo juu atutasita kukuhudumia..asante sana