Mobile Garage/ Gereji inayotembea.

Heaven Seeker

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2017
Posts
479
Reaction score
1,071
Wadau amani iwe kwenu..

Nimejaribu kufikiria Idea ya Garage inayotembea kama fursa inayoweza kufanyiwa tathmini na kutekelezwa na kuingiza kipato cha kutosha. Kwa maoni yangu, kutokana na breakdown zinazotokea barabarani mara kwa mara hasa maeneo ya mbali na centers kubwa zenye garage, kuna umuhimu wa kuwa na garage inayotembea ili iweze kufanya marekebisho kwa haraka kwa brekadown husika.

Kwa mfano, kunakuwa na mobile garage ( Gari yenye vifaa vya gereji) ambayo ipo centered Iringa inakayohudumu barabara ya Iringa-Morogoro, Iringa - Dodoma, Iringa - Mbeya.

Nyingine inakuwa Chalinze itakayohudumu barabara ya Chalinze Dar, Chalinze Tanga/Arusha, Chalinze Morogoro.

Hali kadhalika kwa Dodoma, yaani ikahudumu Dom-Iringa, Dom-Moro, Dom - Manyara.

Hii Idea nadhani inaweza kutekelezeka. Muhimu ni mawazo yenu kuiboresha.

Mimi sina mtaji wa kutekeleza wazo hili, ila nimeliweka bayana ili wadau wenye uwezo kimtaji waiangalie fursa hii.
 
Mkuu hongera sana kwa kufikiria mbali.
Nafikiri hilo ndio wazo pekee ambalo Bado halijafanyiwa kazi kwa bongo.
Ili kulifanya Hilo wazo litimie inahitaji mtaji usiopungua milioni 300 kulikamilisha lifanye kazi.
 
Mkuu hongera sana kwa kufikiria mbali.
Nafikiri hilo ndio wazo pekee ambalo Bado halijafanyiwa kazi kwa bongo.
Ili kulifanya Hilo wazo litimie inahitaji mtaji usiopungua milioni 300 kulikamilisha lifanye kazi.
Safi Mkuu. Je, unaweza kutusaidia mnyumbulisho wa hiyo gharama nzima ya 300 M?
 
Hata Mobile Toilets pia ni wazo zuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…