Mekatilili
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 1,613
- 1,383
Watalia hujuma!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu Kenya imejiboresha zaidi ya nchi yeyote nyingine, na ikaongeza points nyingi zaidi barani Afrika, 13.4! Bila shaka baada ya muda usiokuwa mrefu tutaungana na Ushelisheli kwenye kitengo cha juu kabisa, Advanced. Tuwaache hawa madiscoverers huko nyuma wakiisoma namba kama kawa.Muda usio mrefu watakuja na screenshots za mchina phones wakionyesha bundle uchwara wanazonunua, wakati sisi huku tunatumia internet bila kikomo, tena yenye kasi ya ajabu.