Muda usio mrefu watakuja na screenshots za mchina phones wakionyesha bundle uchwara wanazonunua, wakati sisi huku tunatumia internet bila kikomo, tena yenye kasi ya ajabu.
Muda usio mrefu watakuja na screenshots za mchina phones wakionyesha bundle uchwara wanazonunua, wakati sisi huku tunatumia internet bila kikomo, tena yenye kasi ya ajabu.
Alafu Kenya imejiboresha zaidi ya nchi yeyote nyingine, na ikaongeza points nyingi zaidi barani Afrika, 13.4! Bila shaka baada ya muda usiokuwa mrefu tutaungana na Ushelisheli kwenye kitengo cha juu kabisa, Advanced. Tuwaache hawa madiscoverers huko nyuma wakiisoma namba kama kawa.