Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,253 Reaction score 11,626 Apr 7, 2009 #1 Naomba kufahamishwa nini maana ya simu kufungwa ili itumiwe kwenye mtandao mmoja tu (network locked phones). Inafanyikaje? Na kama simu imefungwa hivyo, inatakiwa kufanya nini ili iweze kutumika kwenye mitandao mingine?
Naomba kufahamishwa nini maana ya simu kufungwa ili itumiwe kwenye mtandao mmoja tu (network locked phones). Inafanyikaje? Na kama simu imefungwa hivyo, inatakiwa kufanya nini ili iweze kutumika kwenye mitandao mingine?