Anayoyafanya Kikwete pia hayana tofauti; Mobutu alijenga makasili kijijini kwake kama Kikwete anavyojenga makasili yake pale Msoga na Regent estate. Kikwete hajatangaza mali zake lakini kama Mobutu nadhani anafedha nyingi nje za madini anazofichiwa na wakina Sin Clair kama Mobutu nae alivyokuwa anafichiwa na makampuni ya Wafaransa ya uchimbaji madini Congo!! Kama huu ni uzushi basi atangaze mali alizonazo halafu watu wenye dossier yake waiweke hadharani.