Hao mafundi waambie Watauwawa piamTulisema na kuandika humu, matukio haya ya maandamano nk ndipo Pesa inapigwa hasa, waliopo kwenye mnyororo wa upigaji wanafuja pesa kwa nguvu kubwa sana.
Ilikuwa ya kumkamata Mange, leo kuna hii ya vifo vya wananchi na kurundikwa mochwari.
Soma mwenyewe hapa chini. 😢.
========================
Nimeambiwa na ndugu yangu anayefanya kazi hapo Hospitali ya Mwananyamala kwamba Wwamepeleka mafundi kwenda Kkubadilisha vigae/tiles na baadhi ya fanicha kuonesha kwamba zile Video siyo originali ni AI, na haikuwa hapo Mwananyamala.
Hii wanaweza kufanya mochwari zote kuficha Ukweli lakni Technology itawaumbua.
C.P.
Father kipi hujui kuwa nchi hii inaongozwa na mijinga?Hao hawana akili.
Kuna picha kibao za hizo mortuary kabla ya huo ukarabati.
Kuna forensic investigation zinafanyika laboratory kujua half life za material eneo husika za muda gani material ilitengenezwa au kuwekwa hapo.
Work ability ya cement na glute ya kuingia tiles inajulikana haraka sababu inapungua uwezo kila siku.
Ina undergo chemical reaction.
Wanasayansi wote waliopo wizara ya afya kusema hawajui hii kitu?
Watauwa ili kuficha siriHao mafundi waambie Watauwawa piam
Walivyokuwa wasahaulifu hata siku wakizokuwa wakifanya ukarabati kidogo wanarusha picha nyingi kuonesha kiongozi wao anapiga kazi.Father kipi hujui kuwa nchi hii inaongozwa na mijinga?
Kipi hujui kuwa wenye akili were die na maarifa wapo mtaani kwa sababu sio uvccm?