Nimetuma uzi hawapa nikaeleza dukuduku langu narudi uzi ule siuoni je nn kinafichwa basi wacha tusifie tu chit chat ni jukwaa zuri sana watu wake ni wakarimu sana na wamejaaliwa vipaji vya maneno
acha tu wawe wakali
siku hizi vijana wanapiga Maselfie wako kitandani wanachezea mavyupi mabovu
eti ni mastar wa music na inatamba kabisa
sasa Mod wenye vipost vya kijinga Mahakamani km Nandy na Diamond
humu ndio watajirekebisha