Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ndivyo ilivyo aisee!!!!Ni sawa na unauliza namba ipi kubwa kati ya 1,2,3 na 4
Hizo ni trim level, zinaenda zikipanda, na kila level ina kila kitu kilichopo kwenye level ya chini yake then na nyongeza kwa juu.
Hivyo ZX ina kika kitu kilichopo kwa hao wengine wote na vingine ambavyo havipatikani kwa level za chini
Ndio mkuu, kwa wapenda videoKumbe ndivyo ilivyo aisee!!!!
Wengi hapa tulikuwa hatujui haya mambo
ZX 180.. VXR 260Ni sawa na unauliza namba ipi kubwa kati ya 1,2,3 na 4
Hizo ni trim level, zinaenda zikipanda, na kila level ina kila kitu kilichopo kwenye level ya chini yake then na nyongeza kwa juu.
Hivyo ZX ina kika kitu kilichopo kwa hao wengine wote na vingine ambavyo havipatikani kwa level za chini
Shukran mkuu kwa ufafanuzi..Ni sawa na unauliza namba ipi kubwa kati ya 1,2,3 na 4
Hizo ni trim level, zinaenda zikipanda, na kila level ina kila kitu kilichopo kwenye level ya chini yake then na nyongeza kwa juu.
Hivyo ZX ina kika kitu kilichopo kwa hao wengine wote na vingine ambavyo havipatikani kwa level za chini
Hii ni Toyota Prado sio land cruiser V8
Hapo vietee ndiyo ipi?Wadau wa magari tufahamishane hapa,, Land cruiser LC 300 series latest ipi kati ya hizi ni nzuri kali na bei imesimama
• GX
• GXR
• VX
• VXR
•ZX