Modeli ipi ya LANDCRUISER kati ya hizi ni kali sana na ya kibabe?

Ni sawa na unauliza namba ipi kubwa kati ya 1,2,3 na 4

Hizo ni trim level, zinaenda zikipanda, na kila level ina kila kitu kilichopo kwenye level ya chini yake then na nyongeza kwa juu.

Hivyo ZX ina kika kitu kilichopo kwa hao wengine wote na vingine ambavyo havipatikani kwa level za chini
 
Kumbe ndivyo ilivyo aisee!!!!
Wengi hapa tulikuwa hatujui haya mambo
 
ZX 180.. VXR 260
 
Shukran mkuu kwa ufafanuzi..
 
Wadau wa magari tufahamishane hapa,, Land cruiser LC 300 series latest ipi kati ya hizi ni nzuri kali na bei imesimama

• GX

• GXR

• VX

• VXR

•ZX
Hapo vietee ndiyo ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…