Modelling Agency kubwa Tanzania

Modelling Agency kubwa Tanzania

Ruiz

Senior Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
171
Reaction score
70
Habari wakuu!
Naomba kujuzwa je ni Agency gan kubwa na nzuri hapa Tz kwa Models wa kike na kiume... Ahsante!
 
Daressalaam
OK kwa Dar es salaam nafikiri itakuwa rahisi kwako kama ukiongea na designers wakubwa they might help you maana ndio na coordinate sana na Agencies when it comes to Fashion shows au jaribu kucommunicate na models kama kina Jihan, Lota Mollel na wengine watakusaidia.
 
Ok thanks alot, bt problem is on how to get communication wth those people mkuu
 
Back
Top Bottom