Models/ tasnia ya fashion

Kuna dogo kitaa Naye yuko kwenye umodel Naye yuko hivyo hivyo
mimi nilisoma na mshkaji alikuwa na pigo kama hizi za noeli kwanza alikuwa anaimba anajua sana kuimba kipindi cha dini akiimba ile usiku shule nzima mna nyama za kumsikiliza mpaka waislamu walikuwa wanakuja.
sasa cha ajabu siku moja tukamkuta yupo na demu maana nilisoma pembezoni mwa bahari pwani huko, tukamkuta yupo na demu baharin ufukweni wananyonyana mate. ILA kuanzia tembea kuongea kama demu vile
 
Daa hatari sana ,Sasa hapo sjui tumuweke kundi lipi
 
Mwingine huyu
Acha upuuzi, tafuta pesa....Kuna uzi humu wa viajira pale tra, magereza nenda kahangaike navyo, huna mamlaka ya kuwahukumu wengine, acha kukaa vijiweni tafuta maisha
 
Acha upuuzi, tafuta pesa....Kuna uzi humu wa viajira pale tra, magereza nenda kahangaike navyo, huna mamlaka ya kuwahukumu wengine, acha kukaa vijiweni tafuta maisha
Nina maisha na mabinti wakubwa kama we kuwa na adabu nakuls pensheni na miradi kibao ......
sawa binti
 
Nina maisha na mabinti wakubwa kama we kuwa na adabu nakuls pensheni na miradi kibao ......
sawa binti
Basi ishi umri wako, why unakua unachokonoa yasiyokuhusu?au ndio show off ya muscular yako, gender violence iliyo embedded na tabia yako?,tako la kwangu wewe linakuhusu nini?,achana na yasiyokuhusu, relax na enjoy your last day's, njoo huku 4th beach hapa near Clifton upate green tea baba
 
Sasa cha ajabu nn hapo? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nani katupa mamlaka ya kuwahukumu wengine, tako la kwake wewe linakuhusu nini?,anavyolitumia ni uamuzi wake, tutafute pesa achana na yasio kuhusu
Bora hata usemee wewee, [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…