wanatamani
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 415
- 145
Mkuu acha upumbavu bana, hii sio FBwabajamii naiuza modem ina bundle ya 1gyga na salio la laki moja na buku tano nataka 70000 tu mwenye kuitaka just email me with your mobile number speed 3.1 mb/second sasatel inakimbiza mbaya. Mimi ninazo nyengine zinatosha napunguza
Mkuu unataka kuongeza idadi ya thread ?Umechemkawabajamii naiuza modem ina bundle ya 1gyga na salio la laki moja na buku tano nataka 70000 tu mwenye kuitaka just email me with your mobile number speed 3.1 mb/second sasatel inakimbiza mbaya. Mimi ninazo nyengine zinatosha napunguza
teh teh! Hilooo! Nenda jukwaa la joke kule zinaruhusiwa PUMBA ZAKO hizi.wabajamii naiuza modem ina bundle ya 1gyga na salio la laki moja na buku tano nataka 70000 tu mwenye kuitaka just email me with your mobile number speed 3.1 mb/second sasatel inakimbiza mbaya. Mimi ninazo nyengine zinatosha napunguza
Mkuu acha upumbavu bana, hii sio FB
Kama unapenda maskhara hapa si mahala pake nenda jukwaa la jokes ebo!!!!!!!,
unaikumbuka hii thread uliyo wa fool watu star times ting dstv zinachakachulika
Katotoe kwanza majibu ndio uje na ujinga wako mwingine