Modem zinazoingia mitandao yote

Modem zinazoingia mitandao yote

alikhalef

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
717
Reaction score
74
Modem zinazoingia mitandao yote zinapatikana hapa kwa bei yakufurahisha sanaaaaaaaa contact me 0779420000. bei 30,000/= ukitaka nyingi call tuongee speed ni 7.2Mbps
 
Weka bei watu tujue,,,,huu ujanja ujanjaaa,,,cccm mtaacha lini,,,naitaji sana weka bei hapa obaoni
 
how much yaweza kuwa bei nafuu kwako ila kwa wengine je? weka bei ili tukipiga tuwe na uwakika kabisa na mali tunayoitak
 
bei ni 30,000/= tuu na modem ni zenye speed kubwa 7.2Mbps ukitaka nyingi call me 0779420000
 
kwahiyo mkuu hata laini ya TTCL inaingia?
 
lain za ttcl zinatumia network ya CDMA hazikubali... ila mitandao ya vodacom, tigo,airtel na zantel zinakubali vizuri tuu hata ukitaka kuunganisha na vpn connection
 
Back
Top Bottom