Tangu tumepata hizi modems imekuwa tabu sana, ila tuvumiliane. Hakuna anayependa kubanwabanwa. Sio kwamba hazifanyi kazi; tunataka ziwe huru.
Tatizo:
Ku-unlock ZTE modems unahitaji kuondoa ISO iliyopo ili utumie ISO ambayo iko unlocked, na hii unlocked ISO unaisanikisha kwenye memory card. Sawa? Sasa zipo hizi modem Vodafone K3570-Z (ZTE) tatizo ni kuwa hazina sehemu ya kuweka memory card. Memory yake ni ROM kama inavyodai --- huwezi kufuta au kuandika chochote ndani yake.
Nikubali kushindwa?
Sometimes impossible especially kama process ya kutengeneza ROM ilikuwa ni blowing of fuse or transistor. Lakini kama firmaware can be upgraded then sio ROM bali ni PROM/EPROM/EEPROM :target:ilikuwa Locked basi jua inaweza kuwa unlocked.
Binafsi, nadhani hizi link zote za humu JF zinazoeleza namna ya kuchakachua Modem aidha ni za zamani na hazijakuwa updated ama kuna mahali zinatofautiana kati ya za huko na hizi za haya makampuni yetu ya simu. Wikiendi iliyopita nilijaribu kutumia link zote zilizoko humu ndani pamoja na msaada wa wanaJF kuchakachua Modem yangu ya Voda E220 iwe pia inakandamiza Zain/Airtel lakini hamna kitu. Procedure zoote zinafika mahali zinakwama! Ni wangapi humu Ukumbini wana Modem za Voda E220 wamezichakachua na sasa wanaweza kuzitumia hata na Airtel kupata Internet?? Walifanyaje??
goooood.kuna hizi software utahitaji:
halafu fuata maelekezo yaliyopo hapa. Jaribu hii, mimi sijaijaribu ila nadhani itafanya kazi.
- xv132 hex editor inapatikana hapa
- psas ambayo utaipata hapa
- e220 sim lock unlock nayo unaweza kuigugol tu, utaipatahttps://www.jamiiforums.com/hapa