INAUZWA Moderm bei inauzwa nafuu

INAUZWA Moderm bei inauzwa nafuu

Edinam

Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
97
Reaction score
38
Nauza moderm zifuatazo bei poa.

MODERM ya Airtel no mpya nauza 30,000/+ moderm ya Vodacom yenye namba juu ni 20,000/- na nyenzake pia ya Vodacom ni 15,000/-

Karibuni Sana nipo DSM 0625610791 & 0713373875

IMG_20200414_151930_956.jpg
IMG_20200414_151855_396.jpg
IMG_20200414_151825_254.jpg
 
Oyaaa

1. Hiyo Wingle ni Mitandao yote????
2. Hiyo ya Vodacom inaoption ya WifI kama iyo ya airtel????
3. Hizo za vodacom kwann zina bei tofauti.

Zala Na Nga
 
Oyaaa

1. Hiyo Wingle ni Mitandao yote????
2. Hiyo ya Vodacom inaoption ya WifI kama iyo ya airtel????
3. Hizo za vodacom kwann zina bei tofauti.

Zala Na Nga
1) Ni Airtel
2)Ndiyo
3) Zimetumika ya Airtel mpya
 
Mbona jibu namba mbili ni "NDIYO" au hujaona vizuri?
Mkuu nilishakujibu mbona kuwa Ni "ndiyo"Ina Wi fi Kama hiyo ya Airtel, nimepunguza Bei kwa vile nilikuwa naitumia, ya Airtel bado mpya sijaitumia kabisa.
 
Unaweza nitumia mkoa?
Mkuu nilishakujibu mbona kuwa Ni "ndiyo"Ina Wi fi Kama hiyo ya Airtel, nimepunguza Bei kwa vile nilikuwa naitumia, ya Airtel bado mpya sijaitumia kabisa.

Zala Na Nga
 
Back
Top Bottom