Moderm unlocking naomba msaada tafadhali

Joined
Jan 31, 2011
Posts
24
Reaction score
8
Modem yangu imenikatalia kufunguka siilewi inatatizo gani, naomba wataalam mnisaidie tafadhali, hii modem nimesha i unlock nimetumia sana tu kwa computer tofauti lakini kwa mtandao mmoja wa Airtel tu. IMEI yake ni 352965043912508 na S/N ni B55TAA1062205835. Natanguliza shukrani zangu za dhati.

AHSANTENI.
 
nadhani wataalamu hawajakuelewa ndio maana wanashindwa wakusaidieje, weka wazi zaidi.
 
kama unatumia kwa mtandao mmoja tu wa airtel ni wazi bado ipo lock ata ukibadilisha pc ngapi kama ujaunlock aisadii tuma model tukuchakachulie kama cjakuelewa vzuri bac tufamishane mkuu
 
Modem yangu imenikatalia kufunguka siilewi inatatizo gani, naomba wataalam mnisaidie tafadhali, hii modem nimesha i unlock nimetumia sana tu kwa computer tofauti lakini kwa mtandao mmoja wa Airtel tu. IMEI yake ni 352965043912508 na S/N ni B55TAA1062205835. Natanguliza shukrani zangu za dhati.

AHSANTENI.

ingiza code hizi
Unlock: 40233107
 
Back
Top Bottom