Moderm ya internet inaweza kurekodi sauti baada ya kumpigia mtu?

Moderm ya internet inaweza kurekodi sauti baada ya kumpigia mtu?

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Shinda yangu ni kutaka kurekodi mazungumzo baina ya pande mbili kwa kutumia computer.

Nilidhani moderm ingeweza kunisaidia kwa kuwa ina option ya kupiga na kupokea simu LAKINI baada ya kujaribisha hiyo nimegundua kutokuwepo option ya kurekodi moja kwa moja kwenye computer.

Hivi nifanyeje,kuna software inaweza kunisadia?

nisaidie wana jamvi
 
Back
Top Bottom