MBUFYA JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 445 Reaction score 68 Sep 20, 2011 #1 jamani mimi tangu juzi modem yangu ya airtel inakataa kuunganisha mtandao, nimejaribu kuuliza watu wengine wanao tumia airtel hapa na wenyewe tatizo ni hilo hilo. kama kuna mtu wa airtel hapa atusaidie jamani kabla hatujazichakachua hizi modem
jamani mimi tangu juzi modem yangu ya airtel inakataa kuunganisha mtandao, nimejaribu kuuliza watu wengine wanao tumia airtel hapa na wenyewe tatizo ni hilo hilo. kama kuna mtu wa airtel hapa atusaidie jamani kabla hatujazichakachua hizi modem