Modern Airport Terminal in East and Central Africa almost complete

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Itakuwa na:
1. Lift 14
2. Escalators 9
3. Travelators 2

Itakuwa na automated system yakupokea mizigo nakufanya sorting.

Itakuwa na shopping mall pamoja na 5 star hotel kwa pembeni.

Kutakuwa na Big screens zakutangazia vivutio ndani ya terminal.

Pia nijengo linaloweza kupanulia pindi idadi ikiongezeka.

Pia kutakuwa na state of the art security with high tech CCTV.

Pia finishing yake itakuwa yenye kuvutia sana pindi litapo kamilika
 
hiyo sorting itakuwa na screening level 5
 
Warehouse
Kama ya kwetu ni warehouse basi ya kwenu itakuwa ni banda la kuku.
aipterm.jpg
 
Back
Top Bottom