Modern Airport Terminal in East and Central Africa almost complete

JKIA landed a Concorde. The legendary Concorde.
 
Hamna mtu aliyesema a380 haiwez kutua jkia ...what we are arguing is tht hamna jet bridge ya ku accommodate a380 ..na kumbuka airlines kama emirates hawapendi kusubir sana airport ..so u need proper jet bridges to accommodate a380
 
sasa lift ndio inafanya airport inakuwa modern au?😀😀😀😀 yaani hawa watu kwa ushamba hawajambo...ama kweli mtu anaye enda kuzindua lift si mtu wa kuaminiwa😀😀😀
 
sasa lift ndio inafanya airport inakuwa modern au?😀😀😀😀 yaani hawa watu kwa ushamba hawajambo...ama kweli mtu anaye enda kuzindua lift si mtu wa kuaminiwa😀😀😀
msaidie ndugu yako leo kapokea kichapo kitakatifu😀😀😀😀😀😀
 
Akisoma hii hatoludi
Mimi pia na evidence yakutosha kuwa inapotua B747 pia A380 inaweza
 
sasa lift ndio inafanya airport inakuwa modern au?😀😀😀😀 yaani hawa watu kwa ushamba hawajambo...ama kweli mtu anaye enda kuzindua lift si mtu wa kuaminiwa😀😀😀
Double decker passenger bridge is very big and important requirement for any airport to be classified as modern airport.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…