Modern Wives

Picha ambayo ni common sana ktk hii mitandao!
 
Kwa hayo mauno hata kama angekuwa mke wangu ningekubaliana naye, ila mauno yakiisha tu itabidi aanze kutimiza wajibu alioukataa mwanzoni, vinginevyo kibuti tu.. Hakuna kuremba shughuli hiyo ndiyo iliyomleta bana.
 
OMG me huyo dada tuu ameniacha hoi na kubana kutamba lele koyakoya
 
Nakumbuka my braza alishawahi waambia wanandugu kuwa 'sijaoa trekta mie'
 
ahahahahhahaahhahahhahah sipati picha baba mkwe alitoaje macho kuangalia huo mzigo hapo nyuma!kaka zake walimwonea wivu mdogo wao ile mbaya,mawifi walisonyaaajeeeeeeeeeeeeeeeee!mama mkwe sasa akajua hapa nijipange upyaaaaaaaaaaaaaaaaa!wake wenzie wakajisemea huyu nae!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…